Saa chache kabla ya maandamano ya kitaifa nchini Kenya kupinga kuongezeka kwa visa vya mauaji ya wanawake na unyanyasaji mwingine dhidi ya wanawake - video ilitumwa kwenye mitandao ya kijamii: Katika ...
Vitisho na chuki huwalazimisha wanawake kukaa kando na siasa na uongozi. Wanaojaribu kuingia kwenye siasa, hujikuta wakipachikwa majina kama mama wabaya, wakibezwa kwa mionekano yao, kuandamwa na ...
Usambazaji wa jumbe za unyanyapaa, udhalilishaji na vitisho, katikati ya hali ya migawanyiko ya kisiasa na kikabila kupitia vyombo vya habari vya jadi na mitandao ya kijamii, hali ambayo imezua ...
Ujerumani imekuwa ikishuhudia maandamano yaliyowaleta pamoja maelfu ya watu kupinga siasa kali za chuki dhidi ya wageni za chama cha AfD, baada ya kufichuliwa kuwa wanachama wa chama hicho walishiriki ...