Akikabidhi ripoti hiyo katika Chuo Kikuu cha Dodoma mchana wa leo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Anjela Kairuki, alisema katika uchunguzi wao wamebaini ...
Waziri Mkuu wa Tanzania Mwigulu Nchemba amekemea vitendo vya rushwa huku ofisi ya utumishi ikisema haiwezekani kuwa na serikali yenye viongozi wanaolalamikiwa kwa upotofu wa maadili. Akizungumza ...