Myra Dunoyer Kavira Vahighene ni msimuliaji hadithi, mwigizaji na mtu anayetunza historia ya Kongo na Afrika. Myra anafufua hadithi za mababu zake, kuziandika upya hadithi na kuzisimulia.
Myra Dunoyer Kavira Vahighene anatamba hadithi jukwaa, na mhamasishaji wa historia ya Kongo na Afrika. Katika safari harakati zake anahuisha simulizi za mababu zake kwa sauti na minyumbuiko ya mwili.