Kabla ya mechi hiyo, Singida imetoka kufungwa uwanjani hapo 3-0 na Yanga, Alhamisi iliyopita, hali inayomfanya Barker kukiri watakutana na ugumu kukabiliana na wapinzani wao hao kutokana na hawatakuwa ...
Kati ya hao watatu, Doumbia ndio anaonekana kuwa na nyakati bora zaidi kulinganisha na nyota wen-gine wa kimataifa ambao ...
BAADA ya kiungo mkabaji wa Simba, Yusuph Kagoma kuongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumikia timu hiyo, ameelezea ...
KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola, amesema anataka kuvunja rekodi zote nchini humo baada ya kupata adhabu nyingine ya kufungiwa, huku akisisitiza hataacha kuwatetea wachezaji wake.
ILE siku ulokuwa unangoja, imefika. Ni mtafutano, wakati chama lako unalolifagilia litakapotupa kete yake muhimu katika mechi ...
PICHA zinazoonyesha mlinzi, Rushine De Reuck akisaini mkataba mpya wa Simba juzi hazikunipita bure. Ilikuwa lazima nitie ...
Nalazimika kuandika maoni mfululizo kuhusu Kamati ya Usimamizi na Uendeshaji wa Ligi inayoundwa na Bodi ya Ligi Kuu (TPLB) kwa kuwa naona mwenendo unazidi kuwa mbaya na mpira wa miguu unapelekwa ...
NGULI wa Manchester United, Bryan Robson ameitaka klabu hiyo kubadilisha uamuzi wao kuhusu Casemiro na kumbakiza baada ya msimu huu, akisisitiza bado ni mchezaji bora ambaye anaweza ...
Simba inapiga hesabu kali za kumsajili mshambuliaji Fofana anayeichezea ASEC Mimosa mwisho wa msimu baada ya kuwa na kiwango bora msimu huu akiwa amefunga jumla ya mabao 11 na asisti tano.
Hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika msimu huu wa 2025/2026 inaanza wiki hii bila uwepo wa klabu za Tanzania kwa vile klabu za Yanga, Simba, Azam na Singida ...
Droo ya hatua ya robo fainali ya Kombe la FA imefanyika jana usiku, huku vigogo wa soka England wakipata wapinzani wao katika hatua hiyo ambayo itazikutanisha uso kwa uso Manchester City na Liverpool.
ZIKIWA zimepita siku chache baada ya Yanga na Simba kutoka kucheza mechi ya Ligi Kuu Bara iliyomalizika bila kufungana kwenye ...