Eyaliko kapiteeni wa ttiimu y’eggwanga ey’ebikonde Yusuf Babu abakanye ne kaweefube w’okukulakulanya omuzannyo guno, nga ono atandiseewo kkampuni egenda okutumbula ebitone by’abazannyi b’ebikonde ...
Dar es Salaam. Kabla ya P-Funk Majani kuwa mtayarishaji wa muziki mwenye mafanikio makubwa, awali kabisa alikuwa ni rapa na DJ. Hiyo ilikuwa mwanzoni mwa miaka 1990 wakati huo alikuwa anaitwa DJ ...
SERIKALI imeagiza mipango na bajeti za halmashauri vizingatie utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 na Mpango wa Taifa wa Maendeleo. Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na ...
Wakala wa Serikali wa Uchapishaji Tanzania (TGPA) leo umepokea ugeni wa watu 24 kutoka Shirika la Uchapishaji la Uganda (Uganda Printing and Publishing Corporation – UPPC) waliowasili nchini kwa ziara ...
Bunge la Ulaya limepitisha azimio kuhusu hali ya baada ya uchaguzi nchini Uganda. Siku ya Alhamisi, Februari 14, 2026, Wabunge wa Umoja wa Ulaya walipiga kura kuunga mkono nakala inayolaani ...
Utafiti wa Taasisi ya Uchumi ya Ujerumani (IW) unaonyesha kwamba msimu wa sherehe za Karnevali nchini humo unatarajiwa kuongeza mapato ya taifa kwa takribani euro bilioni 2 mwaka huu huku. Utafiti huo ...
Bannabyabufuzi kko n’abatuuze be Namayumba mu Wakiso bavumiridde ekya gavumenti okugaanira ddala okubaako kyenyega ku by’okubuzibwawo kw’omusajja John Bosco Kibalama, nga ono yabula kati emyaka ...
MAKAMU wa Rais, Balozi Dk Emmanuel Nchimbi amesema viongozi wa dini wana wajibu wa pekee wa kuliombea taifa kama ambavyo Biblia Takatifu ilivyoelekeza. Dk Nchimbi aliyasema hayo wakati wa hafla ya ...